September 17, 2018


Kiungo wa Man United, Marcus Rashford ameonekana akiwa na mpenzi wake mtaani kwa mara ya kwanza.

Rashford ambaye bado hajawa na msimu mzuri katika iikosi cha Man United, ameonekana akiongozana na mpenzi wake huyo kwa ajili ya mtoko wa msosi.

Kiungo huyo amekuwa akitarajiwa kuwa mmoja wa wachezaji tegemeo wa Man United hapo baadaye.

Hata hivyo, kiwango chake kimekuwa hakina mwendelezo mzuri zaidi kwa kuwa hufanya vema na baadaye kupotea kabisa.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic