September 15, 2018




Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wake, Ndanda FC.

Hii ni sare ya kwanza kwa Simba baada ya ushindi mara tatu mfululizo.

Simba walishambulia mara nyingi zaidi lakini Ndanda wakiwa nyumbani Nangwanda Sijaona walikuwa makini huku wakifanya mashambulizi ya kushitukiza.

Washambuliaji wa wawili tegemeo wa Simba, Meddy Kagere na Emmanuel Okwi walilazimika kupumzishwa kutokana na ugumu wa mechi hiyo.

Huku kiungo mpya wa Simba, Cleotus Chama wa Azam akiichezea timu yake kwa mara ya kwanza.

12 COMMENTS:

  1. Kwani kagele,okwi boco na kichuya hawakucheza?

    ReplyDelete
  2. kwakweli mpira wanaocheza wachezaji wa simba hauendani na gharama wa nazotumia.naona kama mwanamke alienunua smart phon na kila akiona jambo anapiga picha.sitaona ajabu kocha akifukuzwa mechi tatu zijazo.ameludinyuma hatua kumi na tano toka alipoachia lechante

    ReplyDelete
  3. Hii ni sehemu ya mchezo. Hakuna timu inayoshinda kila siku.Simba walicheza vizuri huku Ndanda wakijihami mchezo wote.Matokeo haya ni kawaida kwenye mpira.

    ReplyDelete
  4. Kumbuka ndanda walijiapiza lazima wataifunga Simba tena si chini ya goli moja lakini wakapata ushindi sare.

    ReplyDelete
  5. La kushangaza hapa kwani Chama ni mchezaji wa Azam au alitokea Azam? Waandishi muwe makini.

    ReplyDelete
  6. Simba hawana kocha na beki imara bali wana mabeberu mawili

    ReplyDelete
  7. kwa hali hii ndo mutetee ubngwa hzo n ndoto za mchana ambazo hazna ukwel.haooooo! na mikia yao.

    ReplyDelete
  8. kwan kagere si alisema atafunga kla mech ?leo amefunga ngapi? hahaaaa!,zle mbio 2 za sakafun.

    ReplyDelete
  9. Shiiimbwa bwana...hahahaaaaa, kelele hazichezi Mpira.mtapata taaabu sana na wazee wazee wenu
    ..!

    ReplyDelete
  10. Pambaneni na hali ya timu yenu.Sare na Simba ni sawa na ushindi.Siku Simba ikifungwa mtatembea Uchi mitaani.

    ReplyDelete
  11. KUNA JAMBO MOJA LAZIMA TUFAHAMU, KOCHA ANANAFASI YAKE. PIA WACHEZAJI WANANAFASI ZAO. KWA GAME YA JANA WACHEZAJI NDIO WAMETUANGUSHA. WANAANZA GAME KAMA VILE HAITAJI USHINDI. MUDA UMEKWENDA ZIMEBAKI DAK 20,15 NDO WANAANZA KUKOMAA.SISI MASHABIKI HATUPENDEZWI NA HIYO TABIA YA WACHEZAJI KUCHUKULI GAME POA AU KUZARAU BAADHI YA TIMU. HII TABIA KUZARAU BAADHI YA TIMU IMETUGHARIMU KWA MIAKA MINGI NA HATIMAYE KUPOTEZA MATAJI.JITIHADA ZA WACHEZAJI KUITAFUTIA TIMU YAO USHINDI NI LAZI ZIONEKANE KUANZIA DAKI YA 1 HADI DAK 90 YA MCHEZO.IKITOKEA HATUPATI MATOKEO MAZURI BASI IWE NI KWA SABABU YA WAPINZANI WETU NAO KUPAMBANA/KUWA VIZURI.WACHEZAJI WA SIMBA LAZIMA WABADILIKE, WAJIFUNZE KWA TIMU KAMA MAN CITY, WACHEZAJI WANAJITUMA MUDA WOTE UWANJANI NA TIMU INAPATA MATOKEO.HILI LA WACHEZAJI WETU KAMA UONGOZI, BENCHI LA UFUNDI NA WACHEZAJI WENYEWE WASIPOLIONA KWA HARAKA NA KUBADILIKA ITATUSABABISHA TURUDI KULE TULIPOKUWA MIAKA MITATU ILIYOPITA.TIMU KAMA IKASHINDWA KATIKA MAZINGIRA KUPAMBANA HUTUWEZI KUHAMAKI. JANA HATA SHOT ON TARGET TAABU.

    ReplyDelete
  12. KUNA JAMBO MOJA LAZIMA TUFAHAMU, KOCHA ANANAFASI YAKE. PIA WACHEZAJI WANANAFASI ZAO. KWA GAME YA JANA WACHEZAJI NDIO WAMETUANGUSHA. WANAANZA GAME KAMA VILE HAITAJI USHINDI. MUDA UMEKWENDA ZIMEBAKI DAK 20,15 NDO WANAANZA KUKOMAA.SISI MASHABIKI HATUPENDEZWI NA HIYO TABIA YA WACHEZAJI KUCHUKULI GAME POA AU KUZARAU BAADHI YA TIMU. HII TABIA KUZARAU BAADHI YA TIMU IMETUGHARIMU KWA MIAKA MINGI NA HATIMAYE KUPOTEZA MATAJI.JITIHADA ZA WACHEZAJI KUITAFUTIA TIMU YAO USHINDI NI LAZI ZIONEKANE KUANZIA DAKI YA 1 HADI DAK 90 YA MCHEZO.IKITOKEA HATUPATI MATOKEO MAZURI BASI IWE NI KWA SABABU YA WAPINZANI WETU NAO KUPAMBANA/KUWA VIZURI.WACHEZAJI WA SIMBA LAZIMA WABADILIKE, WAJIFUNZE KWA TIMU KAMA MAN CITY, WACHEZAJI WANAJITUMA MUDA WOTE UWANJANI NA TIMU INAPATA MATOKEO.HILI LA WACHEZAJI WETU KAMA UONGOZI, BENCHI LA UFUNDI NA WACHEZAJI WENYEWE WASIPOLIONA KWA HARAKA NA KUBADILIKA ITATUSABABISHA TURUDI KULE TULIPOKUWA MIAKA MITATU ILIYOPITA.TIMU KAMA IKASHINDWA KATIKA MAZINGIRA KUPAMBANA HUTUWEZI KUHAMAKI. JANA HATA SHOT ON TARGET TAABU.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic