tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post1821643545895496811..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: LIVE KUTOKA TAIFA: SIMBA 0 VS MWADUI FC 1 (FULL TIME)Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-46117798759278291102016-05-09T12:03:35.417+03:002016-05-09T12:03:35.417+03:00Kama Kesy alifungiwa kwa kucheza rafu na kupewa ka...Kama Kesy alifungiwa kwa kucheza rafu na kupewa kadi nyekundu,tunasubiri tena Hajj Manara aje na uamuzi waliofikia kuhusu Ajib ambaye alimrukia kwa makusudi Kabunda na kusababishwa kupewa kadi nyekundu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-79157102366787964422016-05-08T20:12:50.076+03:002016-05-08T20:12:50.076+03:00Kwa mwaka huu Yanga walijiandaa vizuri zaidi.Wamew...Kwa mwaka huu Yanga walijiandaa vizuri zaidi.Wameweza kuzifunga timu 14 kati ya 15 walizotakiwa kucheza nazo katika ligi kuu ya Vodacom,aidha mechi moja au zote mbili nyumbani na ugenini kama ilivyofanya kwa Simba sc.ni Azam pekee ndiyo imepona kipigo toka kwa Yanga.Halafu Donald Ngoma ameweza kuzifunga magoli timu 11 kati ya timu 15 zilizocheza na Ynga katika ligi hii.Kumbuka kwamba amezifunga timu zote zilizoko top 5 yaani Azam,Simba,Mtibwa na Mwadui.Kwa upande wa Tambwe yeye amezifunga timu 9 kati ya 15 za ligi kuu zilizocheza na YangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-11765007396134994202016-05-08T20:03:47.719+03:002016-05-08T20:03:47.719+03:00Simba hawana wa kumlaumu zaidi yao wenyewe.Walitum...Simba hawana wa kumlaumu zaidi yao wenyewe.Walitumia muda na nguvu nyingi kuilazimisha TFF izipangie Yanga na Azam mechi mfululizo za viporo na Simba ipumzike kuzisubiri zimalize viporo.Tangu hapo Simba haijashinda tena,imepoteza mechi mbili na kwenda sare moja katika ligi kuu ya Vodacom na kufungwa na Coastal Union 2-1 kombe la shirikisho.Mechi zote nne zimefanyika uwanja wa Taifa.Katika mechi zao tatu za ligi kuu haijafunga hata goli mojaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-36364843470901863532016-05-08T18:06:21.483+03:002016-05-08T18:06:21.483+03:00Duh mwaka wa njaa msimbazi. Kweli mwadui kawa kama...Duh mwaka wa njaa msimbazi. Kweli mwadui kawa kama chelsea kwa totenham..... Let's call it a season..... Jipangeni kwa msimu mwingine meeeen... Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-13518390396847355222016-05-08T18:03:12.035+03:002016-05-08T18:03:12.035+03:00duuuu shidahduuuu shidahAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/03908468547698852415noreply@blogger.com