tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post1891635627585074915..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: UTATA WA ISHU YA BAO LA KUWA OFFSIDE KAMA LILIVYOANDIKA GAZETI LA CHAMPIONISalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-57243087514336157802016-06-30T15:30:29.671+03:002016-06-30T15:30:29.671+03:00Mimi ni mpenzi sana wa Yanga ila pale hakukuwa na ...Mimi ni mpenzi sana wa Yanga ila pale hakukuwa na offside kabisa.
Offside ni wakati pasi inapigwa sio wakati wa kufunga.
Ina maana hata Malima pamoja na kucheza mpira hajui Offside inakuwaje???
Shame..

MythbusterUnknownhttps://www.blogger.com/profile/03414973868479238745noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-42710331279027777732016-06-29T16:11:16.588+03:002016-06-29T16:11:16.588+03:00Pale yanga walibanwa, kwanza kumwangusha Uli..ile ...Pale yanga walibanwa, kwanza kumwangusha Uli..ile ingawagharimu na kuwa penati, sema tu mwamuzi alifumba jicho moja. Mpira wetu upo mdomoni sana!mwitahttps://www.blogger.com/profile/03649232745634003400noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-75147976769845632992016-06-29T15:17:13.591+03:002016-06-29T15:17:13.591+03:00HAKUNA OFFSIDE yoyote pale. offside inapimwa wakat...HAKUNA OFFSIDE yoyote pale. offside inapimwa wakati mtoa pasi anapiga mpira. wakati pasi inapigwa Kamusoko alikuwa kaua offside, na hata wakati mfungaji anaanza kupiga mpira walikuwa wako sawa na kamusoko. naweka link hapa na unatishe hiyo video wakati pasi imepigwa uone kama kuna offside. link hii hapa https://www.youtube.com/watch?v=shOgXok12YAAnonymousnoreply@blogger.com