tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post236737565039745587..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: BAO LA TAMBWE DHIDI YA SIMBA NA MAMBO MANNE YA KUJIFUNZASalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-72566286266529286432016-10-04T12:44:34.356+03:002016-10-04T12:44:34.356+03:00Tuache kuzungumzia goli LA Tambwe aliye tumia mkon...Tuache kuzungumzia goli LA Tambwe aliye tumia mkono kusaidia mpira utoke katika mabeki na kufunga,tuzungumzie mechi nzima Kama goli LA Ajibu faulo Za Yondani,Ndio zilizopelekea wachezaji kupaniki na mashabiki pia,unaona ni jinsi gani waamuzi walikuja na matokeo yao.Nadhani Hata goli LA Ajibu lilikuwa bora na basi ilikuwa bora kwahiyo tuzungumzie mechi kwa jumla na Si kutetea mpira WA kihuni ambao utasababisha mechi ijayo kuwa ya kihuni zaidi timu zikiogopa kufanyiwa uhuni watajipanga kufanya uhuni nao.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16710263934279116191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-52634841545163750162016-10-04T07:28:15.731+03:002016-10-04T07:28:15.731+03:00Kaka ushaanza kupoteza mwelekeo kwasababu haukutak...Kaka ushaanza kupoteza mwelekeo kwasababu haukutaka kueleza ukweli zaidi ya kuonesha ushabiki kwenye analysis yakoAMANI BILA YA HESHIMA NA KIPATO NI KAZI BUREhttps://www.blogger.com/profile/06987937753761878107noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-44641786864925141472016-10-04T07:06:22.676+03:002016-10-04T07:06:22.676+03:00Nimekuelewa kinoma salehe jembe umeelezea vizuri k...Nimekuelewa kinoma salehe jembe umeelezea vizuri kweli kuliko huyu mwenzio shaffih anaetetea utumbo kabisa dadeki johnndeki5@gmail.comhttps://www.blogger.com/profile/08069851579189316336noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-60148497070087977742016-10-03T15:43:49.198+03:002016-10-03T15:43:49.198+03:00Mi ni Simba ila ukweli ni kuwa pamoja na kuwa Tamb...Mi ni Simba ila ukweli ni kuwa pamoja na kuwa Tambwe alishika, Lufunga alikaba hovyo sana. Alitakiwa amuweke Tambwe mbele yake na kwa urefu wake angeokoa na kichwa. Bao safi la Ajib naona watu wengi wanalipotezea kwa kuwa halikuleta zogoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-11265003136029041862016-10-03T12:29:29.384+03:002016-10-03T12:29:29.384+03:00Tambwe, Tambwe, bao safi Tambwe, Tambwe.What a was...Tambwe, Tambwe, bao safi Tambwe, Tambwe.What a waste!!Anonymousnoreply@blogger.com