tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post3794162304409387038..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: HII NI ILE ISHU YA WACHEZAJI WA SIMBA NA HADITHI YA URAFIKI WA BATA NA MINYOOSalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-38081532994782806132016-05-30T19:44:51.408+03:002016-05-30T19:44:51.408+03:00Nadhani kwa swala la Kessy ingekuwa vizuri ungewek...Nadhani kwa swala la Kessy ingekuwa vizuri ungeweka na swala la kupigwa na golikipa wa Simba baada ya mchezo huo uliosema kuliko kuishia kusajiliwa kwake Yanga. Hivi wewe ungekuwa ni Kessy na shutuma zote alizokuwa anapata toka alipofungisha mechi ya Yanga ungeweza kweli kucheza kwa amani kwenye hiyo timu?Michezohttps://www.blogger.com/profile/07103098161351946595noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-73419574065571557392016-05-30T10:37:11.174+03:002016-05-30T10:37:11.174+03:00kweli kabisa, na ndio maana halisi ya kuitwa timu ...kweli kabisa, na ndio maana halisi ya kuitwa timu kwasababu watu kwenye hutegemeana nje na ndani ya uwanja na huo ndio mwanzo wa matokeo bora ya timu kwasababu wachezaji wanakuwa hawaishi kama wafanyakazi bali kama ndugu wa damu mojamichezo plushttp://www.michezoplus.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-49225118203582315372016-05-30T10:09:23.638+03:002016-05-30T10:09:23.638+03:00Kwa kiasi fulani sikubaliani nawe kwenye suala la ...Kwa kiasi fulani sikubaliani nawe kwenye suala la Kessy. Mkataba unaisha baada ya msimu, anapewa kadi nyekundu na club inamfungia mechi zote zilizobaki. Kwa maana nyingine hakutegemea kucheza hadi mkataba unaisha, kwahiyo mlitaka akae tu nyumbani wakati club yake imeishaonyesha dhahiri haimuhitaji na offer imetokea asisaini!? Pili lazima tuwe wakweli, mchezaji hawezi kutoka nje ukasema eti ana mapenzi na simba au yanga, alizijulia wapi!? Siku hizi mpira pesa, Delima alikuwa na mapenzi na RM japo aliichezea barca kwa mafanikio!! Kitu cha kumpa mapenzi mchezaji ni treatment ya washabiki, benchi la ufundi na viongozi. Kuna wakati CR7 alijihisi kutokuwa mwenye furaha RM hadi mambo ninayoyasema yalipobadilika na kupewa thamani yake tena kwa kupewa mkataba mnono!! Mtu hawezi kuja ugenini eti mapenzi, mlipe chake kwa wakati then mdai matokeoWinchislaus Rweyongezahttps://www.blogger.com/profile/08363160734994732902noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-79329328715162932052016-05-30T09:50:58.359+03:002016-05-30T09:50:58.359+03:00Wewe nawe ni pumba kama hans Poppe,unataka wacheza...Wewe nawe ni pumba kama hans Poppe,unataka wachezaji waipende timu inayowaambia kuwa Simba si mama yako!?Wewe vipi au ndio ukanjanja huo?Anonymousnoreply@blogger.com