tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post8534100635943879441..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: KADI NYEKUNDU YA MKUDE, HUKU AKISHINDWA KUILINDA HADHI YA KITAMBAA MKONO WA KUSHOTOSalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-86953065010214965452016-10-03T19:44:46.546+03:002016-10-03T19:44:46.546+03:00salehe unatakiwa kujua, mkude sio nahodha wa kwanz...salehe unatakiwa kujua, mkude sio nahodha wa kwanza kutolewa na kadi nyekundu kwa kupandwa na hasira, kumbuka yule ni binadamu, na refa alilundika makosa mengi mno ambayo pengine ungekuwa hata wewe ungefanya hivyohivyo...unakumbuka kisa na zidane world cup ujeruman?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-51396207093763598962016-10-03T19:24:49.306+03:002016-10-03T19:24:49.306+03:00Salehe sijakuina ukiongea goli alokataaaa mwamuzi ...Salehe sijakuina ukiongea goli alokataaaa mwamuzi saanya lile la ajib ile ni offside ya wapi hilo koja na pili mkude hakumsukuma mwamuzi bali alijikwaa kwa ajib tatu ww tulicheza wote mpira sana tena nakumbuka hata wewe ulikua na hasira kwenye maamuzi mabovu ya vijimechi vyetu vya mtaaani.mimi oia uwanjani nilikuwwpo na niliona kwa hili usimuonee mkide nimeona habar yako wewe ni yanga wa kutuowa tia maelezo usilete ushabiki saleh.hujaonhelea kabisa lile goli ambalo walisema ni offside nilitegemea utalauku viongozi wa tff kwa kumpa achezeshe wakat alikua amefungiwa badala yake unakuja kumlaumu mkude.washabiki wenyewe yulikasirika kwanini asikasirike mkude??Yafiche mapenzi yako kwenye kuandika habar uwe unabalance.refa kakataaa goli la simba la wazi kaja kukibali mtu kashika unategemea nini na ile ni mechi kubwa???nakuamini sana wewe ni mwabahabar mzuri ila kwa hili umenishangaza kaka.MNG'AGA'Shttps://www.blogger.com/profile/12760334271160690611noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-13126121324437519042016-10-03T19:22:07.139+03:002016-10-03T19:22:07.139+03:00Salehe sijakuina ukiongea goli alokataaaa mwamuzi ...Salehe sijakuina ukiongea goli alokataaaa mwamuzi saanya lile la ajib ile ni offside ya wapi hilo koja na pili mkude hakumsukuma mwamuzi bali alijikwaa kwa ajib tatu ww tulicheza wote mpira sana tena nakumbuka hata wewe ulikua na hasira kwenye maamuzi mabovu ya vijimechi vyetu vya mtaaani.mimi oia uwanjani nilikuwwpo na niliona kwa hili usimuonee mkide nimeona habar yako wewe ni yanga wa kutuowa tia maelezo usilete ushabiki saleh.hujaonhelea kabisa lile goli ambalo walisema ni offside nilitegemea utalauku viongozi wa tff kwa kumpa achezeshe wakat alikua amefungiwa badala yake unakuja kumlaumu mkude.washabiki wenyewe yulikasirika kwanini asikasirike mkude??Yafiche mapenzi yako kwenye kuandika habar uwe unabalance.refa kakataaa goli la simba la wazi kaja kukibali mtu kashika unategemea nini na ile ni mechi kubwa???nakuamini sana wewe ni mwabahabar mzuri ila kwa hili umenishangaza kaka.MNG'AGA'Shttps://www.blogger.com/profile/12760334271160690611noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-35929226118513133072016-10-03T16:50:11.212+03:002016-10-03T16:50:11.212+03:00Kaka unachambua vizuri lakini swala LA kadi nyekun...Kaka unachambua vizuri lakini swala LA kadi nyekundu la mkude nakupinga kidogo kwa sababu yule ni captain wa timu na tunavyojua mechi kama ile presha ya wachezaji na refa na timu yake huwa juu mkude alikuwa sahihi kabisa kudai haki yake na kuwa haya mambo sio mara Moja kutokea upande wa simba Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14407667914653802757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-69039484471936937922016-10-03T11:53:20.120+03:002016-10-03T11:53:20.120+03:00Tatizo lako bw Salehe unatazama upande mmoja, unge...Tatizo lako bw Salehe unatazama upande mmoja, ungekemea goli na maamuzi ya refa kabla ya kadi ungefaa sana. Kumbuka historia ni dawa na ni mwalimu. Wewe mwenyewe ulisema refa aliye boronga mechi ya Costal na Yanga akafungiwa apewewa mechi ngumu ya watani wa jadi! Huyu Saanya aliwahi kumpa kadi ya njano Kanavaro akiwa ana mshauri kama kepteni. Saanya ana mambo nyuma yake.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06019949854249140750noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-81633940989623433142016-10-03T11:53:18.078+03:002016-10-03T11:53:18.078+03:00Tatizo lako bw Salehe unatazama upande mmoja, unge...Tatizo lako bw Salehe unatazama upande mmoja, ungekemea goli na maamuzi ya refa kabla ya kadi ungefaa sana. Kumbuka historia ni dawa na ni mwalimu. Wewe mwenyewe ulisema refa aliye boronga mechi ya Costal na Yanga akafungiwa apewewa mechi ngumu ya watani wa jadi! Huyu Saanya aliwahi kumpa kadi ya njano Kanavaro akiwa ana mshauri kama kepteni. Saanya ana mambo nyuma yake.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06019949854249140750noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-22477335345973049072016-10-03T09:50:54.053+03:002016-10-03T09:50:54.053+03:00"Amissi Tambwe hakufanya ajizi, akafunga bao ..."Amissi Tambwe hakufanya ajizi, akafunga bao kwa ufundi wa juu kabisa tayari Simba ikiwa nyuma kwa bao moja." Kuna ufundi gani pale? Na makosa ya refa haikuwa tu kuachia goli ambalo sio halali bali pia kukataa goli halali la kiufundi la Ajibu ambalo hujalitaja. Mi naona hasira za Mkude zilikuwa ni mlundikano wa mwenendo mzima wa mchezo na sio hilo kosa moja tu. Nadhani upunguze unazi wa kusifia ufundi wa kushika na mikono. Angekuwa fundi ange control mpira na sio kushika na mikono. Ulitakiwa kumkosoa maana kushika kwake kumemkosesha goli halali kukampatia goli haramu na kumpa sifa mbaya mbele ya wapenda haki kwenye soka.this.mrishohttps://www.blogger.com/profile/12047208366382237471noreply@blogger.com