January 25, 2016


Tajiri mamba moja duniani, Bill Gates leo alitembelea katika mazoezi ya kikosi cha Everton kinachoshiriki Ligi Kuu England.

Gates aria wa Marekani na tajiri mamba mona duniani alifanya ziara katika mazoezi hayo ya Everton katika kuitangaza program ya Sport Relief.

Tajiri huyo mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79 au pauni bilioni 55.5 aliongozana na Cansela wa George Osborne.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic