March 18, 2016


APR ya Rwanda wamefanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga, kesho.

Katika mechi ya kwanza APR ililala kwa mabao 2-1 ikiwa nyumbani jijini Kigali na sasa inataka kulipa kisasi ili isonge mbele.

Hata hivyo, wachezaji hao walifanya mazoezi mepesi kwa ajili ya kujiandaa na mechi hiyo ya kesho kwenye Uwanja wa Taifa. Cheki pichaaaaazz.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV