CHEKI PICHAAAZ NAMNA AWADHI JUMA ALIVYOISAIDIA SIMBA KUTUMBUA JIPU MOJA LA PRISONS TAIFA Simba imepambana vilivyo kuhakikisha inaibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons. Hakika mechi ilikuwa ngumu sana lakini Awadhi Juma akamaliza mchezo na bonge la bao. Cheki pichaaaaazzz.
0 COMMENTS:
Post a Comment