Coastal ndiyo timu pekee ambayo imezifunga Yanga na Azam FC, lakini haikuwa hivyo kwa Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, jana baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-0.
Shabiki huyu alikuwa na uhakika na timu yake ya Coastal Union, lakini mambo hayakuenda poa. Dah! Inauma asee.
0 COMMENTS:
Post a Comment