March 19, 2016


Kiungo Cheikhou Kouyate ameongeza mkataba wa miaka mitano kuichezea West Ham United.

Kouyate ameingia mkataba huo na sass ataitumia West Ham hadj mwaka 2021.


Kouyate alijiunga na West Ham mwaka 2014 akitokea Anderlecht ya Ubelgiji. Amecheza mechi 32 na amefunga mabao manne. West Ham imekuwa na mwendo mzuri msimu huu kwa kuwa iko katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.

AKIWA NA MWENYEKITI WA WEST HAM, DAVID GOLD... 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV