March 20, 2016

 Najua hujamuona Samir Nasri siku kibao, hii ni kutokana na kuwa majeruhi kwa kipindi kirefu.

Lakini sass yuko fiti na amerejea kikosini, huenda Kocha Mkuu wa man City, Manuel Pellegrini akamtumia katika mechi dhidi ya Manchester United leo, hata kama ataingia.


Lakini pamoja na kupotea huko, hakujamfanya yeye ashindwe kuendelea kung’ara na gari lake la kifahari aina ya  Lamborghini Aventador.

Thamani ya gari hilo ni pauni 275,000 (zaidi ya Sh milioni 850). Hakika soka, ni mchezo wenye fedha nyingi sana.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV