March 20, 2016


Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union ambayo in a sifa ya “Kiboko cha Vigogo” msimu huu.

Mabao ya Simba yaliwekwa kimiani na Danny Lyanga aliyefunga la kwanza kabla ya Mganda Hamisi Kiiza kufunga la pili.

Coastal ndiyo timu pekee ambayo imezifunga Yanga na Azam FC, lakini haikuwa hivyo kwa Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, jana. Cheki Pichaaaaazzz.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV