March 18, 2016Ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, imepangwa leo.

Mechi ambayo inaonekana kuwa gumzo ni ile kati ya Barcelona dhidi ya Atletico Madrid zote za Hispania.

Lakini inaonekana kama Real Madrid kama imepata mchekea kwa kupangwa na Wolfsburg ya Ujerumani huku PSG ikirudi kucheza tena England dhidi ya Manchester City.

RATIBA:
PSG vs Manchester City
Barcelona vs Atletico Madrid
Bayern Munich vs Benfica
 Wolfsburg vs Real Madrid

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV