March 20, 2016


Atletico Madrid imeangukia kwa wapinzani wake wakuwa Barcelona kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali.

Lakini jana imekiona jana moto baada ya kuchapwa mabao 2-1 kwenye La Liga katika mechi dhidi ya Sporting Gijon.

Kupoteza kwao ni furaha kwa Barcelona ambayo wanakimbizana nayo, huku Real Madrid ikivizia kuwaangusha pia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV