January 15, 2017
Mashabiki wa West Ham United, sasa hawataki kusikia jina Dimitri Payet ambaye alikuwa shujaa wao msimu uliopita.

Payet raia wa Ufaransa anataka kuondoka West Ham na inaelezwa huenda ajarejea kwao Ufaransa na PSG ni moja ya timu zinazohusishwa kumtaka.

Ili apae nafasi hiyo, amegomea mazoezi. Jambo ambalo limewaudhi mashabiki ambao wamekuwa wakiweka alama ya X kwenye jezi zake.

Kama hiyo haitoshi, askari wamelazimika kufanya ulinzi kwenye picha zake uwanjani ili zisihanwe.
TAKWIMU ZAKE KATIKA TIMU MBALIMBALI ALIZOCHEZA
AS Excelsior (2004-05): 36 games, 12 goals
Nantes (2005-07): 34 games, 5 goals
Saint-Etienne (2007-11): 148 games, 25 goals
Lille (2011-13): 94 games, 19 goals
Marseille (2013-15): 83 games, 15 goals
West Ham (2015-): 60 games, 15 goalsTOTAL: 454 games, 91 goals 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV