January 20, 2017Shujaa wa Tanzania Alphonce Simbu akiwa na Madereva Taxi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKIA) jijini Dar es Salaam baada ya kuamua kuchukua jukumu la kumpokea.

Madereva Taxi hao, walichukua jukumu hilo baada ya Simbu kufika uwanjani hapo na kukuta hakuna hata mtu mmoja aliyefika kumpokea. Baada ya kuzubaazubaa, waliamua kumchukua huku wakisikitika kwamba haikuwa uungwana.

Mwisho wakamkaribisha katika eneo ambalo ni ofisi yao ambayo wao hukaa hapo kwa ajili ya kusubiri abiria.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV