January 23, 2017Azam FC imeinyuka Cosmopolitan katika mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Azam FC imeibuka kwa mabao 3-1 dhidi ya rimu hiyo ya daraja la pili kwenye Uwanja wa Azam Complez, Dar.

Wakati Azam FC wamechomoza na ushindi huo, Stand United wameitwanga Polisi Mara kwa mabao 2-0.


Licha ya Polisi Mara kuwa kwenye Uwanja wa nyumbani wa Karume mjini Musoma, ilishindwa kuhimili vishindo vya Stand United ambao ni wapiga debe kutoka mkoani Shinyanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV