January 26, 2017


Beki wa kushoto wa zamani wa Man United, Patrice Evra sasa amerejea kwao Ufaransa.

Evra amejiunga na Marseille ya kwao Ufaransa akitokea Juventus ya Italia.


Klabu hizo mbili zimekubaliana mkataba wa miezi 18 baada ya Evra kuwa amekaa Juventus kwa takribani miaka mitatu akitokea Man United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic