January 21, 2017
Mtanzania Thomas Ulimwengu anatarajia kutua nchini Sweden kesho kumalizana na klabu ya AFC.

Ulimwengu atakapomalizana na kusajili AFC iliyopanda Ligi Kuu Sweden ‘Allsvenskan’ msimu huu, atakuwa akivaa jezi ya rangi ya ‘orange’ au rangi ya Fanta.


Huu ndiyo mwonekano wa jezi za AFC ambazo Ulimwengu aliyetokea klabu hiyo hiyo na kujiunga na TP Mazembe atakuwa akivaa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV