HUU NDIYO MWONEKANO MPYA WA BASI LA SIMBA, KAMA UNA MAONI TAFADHARI TUPIA Basi la klabu ya Simba aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya wadhamini TBL kupitia Kilimanjaro kutoongeza mkataba mpya. Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali. Je, una maoni kuhusiana na mwonekano wake?
Big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete