January 22, 2017Nahodha wa Man United, Wayne Rooney aliisawazishia timu yake bao katika dakika za majeruhi na kuifanya mechi yao kwisha kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Stoke City katika mechi ya Ligi Kuu England, jana.


Bao hilo alilopiga umbali wa yadi 29.3 lilikuwa na kazi ya maili 56.5 kwa saa ambayo ni takwibani kilomita 100 kwa saa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV