January 23, 2017


Uwanja ‘mpya wa Tottenham utakuwa una uwezo wa kuingiza watu 61,000 waliokaa vitini.
Wakati mashabiki wakiusubiri kwa hamu, imeelezwa kelele watakazokuwa wakipiga mashabiki wakati wa kushangilia, zitakuwa zikisikika karibu mara mbili yake.

Hiyo inatokana namns uwanja huo ulivyotengenezwa kwa mujibu wa mkandarasi EMEA.
Mkurugenzi Mtendaji wa EMEA, Christopher Lee amesema uwanja huo umetengenezwa kama ukumbi mkubwa wa maonyesho ya muziki.
Hivyo itakuwa kelele ni kubwa zaidi ili kuongeza chachu hats kama mashabiki watakuwa wakishangilia kwa saizi ya kati na hiyo ni katakana na teknolojia mpya ya mitambo itakayofungwa uwanjani hapo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV