January 10, 2017


Nusu fainali inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba.
Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Vigumu kujua nani ataibuka na ushindi, lakini ninakuachia uweke maoni yako kitaalamu ili tufunguane macho kutokana na kile tunachokiamini. Kama ni Yanga atashinda, unafikiri kwa NINI, kama ni Simba atashinda, kwa NINI?

1 COMMENTS:

  1. Kwa mtazamo wangu bila ya ushabiki. Hizi team zote ni nzuri na zina wachezaji wazuri kila upande lakini naona kama mechi itaishia kwenye matuta.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV