January 24, 2017Mbeya City imeishinda Kabale kwa mabao 2-0 katika mechi ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja Sokoine jijini Mbeya.

Kabale inayoshiriki ligi ya mkoa, ilionyesha ushindani mkali lakini mwisho ikaonekana kushindwa kuhimili vishindo vya Mbeya City.
Wakati wao wanasonga mbele, Mtibwa Sugar nao wamesonga mbele kwa kuifunga Polisi kwa mikwaju ya penalti 5-4.

Polisi wametoka baada ya sare ya mabao 2-2 ndani ya dakika 90 kila timu ikionekana ilikuwa imepania kufanya vizuri.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV