January 13, 2017
Sergio Ramos, jana amefunga penalti ya Paneka na kuisadia Real Madrid kusawazisha dakika za mwisho katika mechi ya Sevilla.

Mechi hiyo ya Copa del Rey iliisha kwa sare ya mabao 3-3 na kuifanya Madrid kusonga mbele hatua ya robo fainali kwa jumla ya mabao 6-3.Sare hiyo inaifanya Madrid chini ya Kocha Zinedine Zidane kucheza mechi 40 ya mashindano bila kupoteza hata moja.Sevilla: David Soria, Mercado (Vitolo 65), Rami, Lenglet, Escudero, Sarabia, Iborra, Kranevitter, Correa (Jovetic 45), Vietto (Nasri 55), Ben Yedder
Subs not used: Rico, Ganso, Kiyotake, Pareja
Goalscorers: Danilo og 10, Jovetic 53, Iborra 77
Booked: Mercado, Iborra, Jovetic
Real Madrid: Casilla, Danilo, Ramos, Nacho, Marcelo, Casemiro, Kroos, Lucas Vazquez (Carvajal 64), Asensio, Morata (Benzema 76), Mariano (Kovacic 58)
Subs not used: Keylor Navas, Varane, Coentrao, Enzo
Goalscorers: Asensio 48, Ramos 83, Benzema 90
Booked: Vazquez, Kovacic, Casilla, Casemiro, Marcelo

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV