January 15, 2017


Kiungo wa zamani wa Azam FC, Kipre Bolou juzi amemalizana rasmi na klabu ya Fanja ule mkataba wake wa mwaka na ushee.

Awali yalikuwa ni mazungumzo, lakini juzi wamemalizana na rasmi kusaini mkataba kabla ya kukabidhiwa jezi.

Raia huyo wa Ivory Coast ameungana na ndugu yake Kipre Tchetche ambaye pia anakipiga nchini humo lakini klabu tofauti.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV