January 26, 2017


Brazil waliamua kuwakumbuka watu 71waliofariki dunia katika ajali ya ndege iliyoua asilimia 98 ya wachezaji wa timu ya Chapecoense iliyokuwa safarini kwenda Colombia kucheza mechi.

Maputo 71 yalirushwa hewani dakika chache kabla ya Brazil kuivaa Colombia katika mechi ya kirafiki jijini Rio de Janeiro.

Brazil ambalo iliongozwa na Robinho iliibuka na ushindi katika mechi hiyo iliyokuwa imetawaliwa na majonzi kabla ya kuanza. Mfungaji wa bao pekee la mchezaji huo ni mshambuliaji wa Palmeiras aitwaye Dudu.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV