January 15, 2017Beki Mnigeria, Wilfred Ndidi ameianza Ligi Kuu England timu yake ya Leicester City inakutana na kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Chelsea.

Ndidi ametokea Genk ya Ubelgiji ambayo alikuwa akicheza pamoja na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta.

SAMATTA NA NDIDI

Genk imekuwa ikisifika kwa kuuza wachezaji kwenye timu mbalimbali kubwa za Ulaya. Maana yake kama Samatta ataendelea kufanya vizuri, kuna nafasi ya kufanya kuuzwa pia.


Kila la kheri kwake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV