January 24, 2017Staa wa Manchester City, Raheem Sterling amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 3.1.

Jumba hilo liko katika eneo la Cheshire likiwa na skwea mita za mrapa 7,5000 pia sehemu maalum tatu kwa ajili ya maegesho ya magari ambayo yatakuwa yakipaki ndani.

Jumba hilo la kifahari, Sterling raia wa Uingereza mwenye asili ya Jamaica mwenye umti wa miaka 22, atakuwa akiishi yeye, mpenzi wake Paige Milian na mtoto wao mdogo ambaye ni mgeni aliyeingia hivi karibuni aitwaye Thiago.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV