January 22, 2017


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger raia wa Ufaransa sasa ana umri wa miaka 67.

Aliingia Arsenal mwaka 1996 akitokea Grumpus Eight ya Japan.

Ninachotaka kukumbusha ni kwamba wapinzani wa Arsenal katika jiji la London walitwaa ubingwa wa Ligi Kuu England wakati huo ikiitwa daraja la kwanza wakati Wenger akiwa mtoto mwenye umri wa miaka 12.

Hadi sasa, Spurs haijawahi kulibeba tena kombe hilo hadi ligi hiyo imekuwa ligi kuu na sasa ni maarufu kuliko nyingine duniani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV