January 15, 2017


Burkina Faso imeikomalia Cameroon na kufanikiwa kupata safe ya bao 1-1 katika mechi yao ya kwanza ya Afcon mjini Libreville nchini Gabon, leo.

Mechi hiyo ilionekana kama ya Cameroon ambao walifanikiwa kupata bao katika dakika ya 35 mfungaji akiwa ni Benjamin Moukandjo na likadumu hadi mapumziko.


Lakini Issoufou  Dayo aliwasawazishia Waburkinabe hao katika dakika ya 75 na kuufanya mchezo mgumu hadi dakika 90 zinamalizika.MSIMAMO
Timu
        P
      GD
             Pts
1

Burkina Faso
1
0
1
2

1
0
1
3

Gabon
1
0
1
4

Guinea-Bissau
1
0
1

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV