June 29, 2017Chile imetinga fainali ya Kombe la Mabara kwa ushindi wa mabao 3-0, yote kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 120 za 0-0.

Kipa Bravo ambaye pia anadakia Man City, ndiye ameibuka shujaa baada ya kupangua penalti tatu huku Ronaldo akiwa anasubiri kupiga yake "baadaye".

Portugal: Rui Patricio, Cedric, Fonte, Bruno Alves, Eliseu, Bernardo Silva (Quaresma 83),William Carvalho, Adrien Silva (Joao Moutinho 101),Andre Gomes (Gelson Martins 116), Ronaldo, Andre Silva (Nani 76)
Subs Not Used: Jose Sa, Pepe, Luis Neto,Guerreiro, Nelson Semedo, Danilo Pereira, Pizzi, Beto
Booked: William Carvalho, Andre Silva, Fonte, Bruno Alves, Cedric

Chile: Bravo, Isla (Fuenzalida 120), Medel, Jara, Beausejour, Aranguiz, Marcelo Diaz, Hernandez (Silva 112), Vargas (Rodriguez 86), Vidal,Sanchez
Subs Not Used: Toselli, Mena, Roco, Sagal, Paulo Diaz, Gutierrez, Valencia, Puch, Herrera
Booked: Jara,Hernandez
Chile win 3-0 on penalties
Referee: Alireza Faghani (Iran)

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV