Staa wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ‘Darassa’ akifanya
makamuzi Idd Mosi Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live
uliopo Mbagala-Zakheem jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Darassa akisalimiana na mashabiki wake kabla ya kuanza shoo. Darassa akifanya makamuzi. Mashabiki wakipagawa na ngoma mpya ya muziki (PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)
0 COMMENTS:
Post a Comment