June 27, 2017


Mlinzi wa Golden State Warriors, Draymond Green ameshinda tuzo ya kuwa beki bora wa mwaka wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA).


Green ametangazwa kuwa mlinzi bora baada ya kuisaidia timu yake kubeba ubingwa wa NBA ikiishinda Cavs kwa 4-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV