June 27, 2017

Staa wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa 
‘R.O.M.A Mkatoliki’ kwa mara ya kwanza ameweka 
historia katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar live
 akisamiana na mashabiki.
Roma akiendelea na makamuzi.

Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Roma

Mwanamuziki Stamina akifanya yake stejini.

Stamina na Roma Mkatoliki wakifanya yao stejini kwa pamoja.

Roma akiingia stejini kwa mwendo wa mateka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV