July 7, 2017

TAMBWE


Yanga imeamua kufanya mambo kitaalamu baada ya kuwapima wachezaji wake afya.

Mabingwa hao wa Tanzania Bara wamewapima wachezaji hao afya kuangalia mambo mengi kuhusiana na afya.

DANTE

Baadhi ya wachezaji waliofanyiwa vipimo vya afya ni pamoja na Vicent Andre ‘Dante’, Said Juma ‘Makapu’, Amissi Tambwe na wengineo.


Daktari wa zamani wa Yanga, Nassor Matuzya alikuwa kati ya madaktari walioshiriki zoezi hilo.

DANTE


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV