Manchester United iko katika hatua za mwisho kuipiku Chelsea na kumnasa Romelu Lukaku kwa pauni milioni 75.
Tayari imeelezwa anaelekea katika vipimo vya afya huko Los Angeles, Marekani na baada ya muda kadhaa, straika huyo atakuwa shetani mpya. Ni jambo la kusubiri tu.
0 COMMENTS:
Post a Comment