REKODI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi imeanza wiki hii, kila timu inataka kuhakikisha inatwaa ubingwa huo ambao unashikiliwa na Real Madrid.
Hii ni michuano mikubwa sana ambayo imekuwa ikitikisa kwenye soka duniani kote, hakuna anayetaka kutokea kwenye hatua hii kwa kuwa kila mmoja amekuwa akijizolea kiwango cha juu sana cha fedha akifanikiwa kuvuka hapa.
Zifuatazo ni rekodi za michuano hiyo hatua ya makundi, zipo nyingi sana lakini hizi ni baadhi tu.
Lionel Messi amecheza michezo 60 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kufunga mabao 60.
Waliocheza mechi nyingi hatua ya makundi
Iker Casillas 89 ( Real Madrid, Porto)
Xavi Hernández 80 (Barcelona)
Cristiano Ronaldo 78 (Manchester United, Real Madrid).
Waliofunga mabao mengi
Lionel Messi, Cristiano Ronaldo (mabao 60)
Karim Benzema (mabao 40)
Aliyefunga mabao mengi kwenye mechi
Luiz Adriano mabao 4 (BATE Borisov 0-7 Shakhtar)
Aliyefunga mabao mengi msimu mmoja
Cristiano Ronaldo 12(Real Madrid, 2012/13)
Aliyefunga bao la mapema
Jonas (sekunde ya 10), (Valencia 3-1 Leverkusen, 01/11/11)
Bao la mapema la kujifunga
Iñigo Martínez, sekunde ya 2 (Manchester United 1-0 Real S o c i e d a d , 23/10/13)
Hat-trick ya mapema
B a f é t i m b i Gomis (dakika nane), (Dinamo Zagreb 1-7 Lyon, 07/12/11)
Mchezaji kijana
Miaka 16, Celestine Babayaro (Steaua Bucureşti 1-1 Anderlecht, 23/11/94)
Mchezaji mdogo kufunga bao
Miaka 17, Peter Ofori-Quaye (Rosenborg 5-1 Olympiacos, 01/10/97)
Mchezaji mzee zaidi
Miaka 43, Marco Ballotta (Real Madrid 3-1 Lazio, 11/12/07)
Mchezaji mzee kufunga
Francesco Totti, miaka 38 (CSKA Moskva 1-1 Roma, 25/11/14).
Klabu iliyocheza hatua ya makundi mara nyingi
23 Barcelona, FC Porto, Real Madrid
22 Bayern, Manchester United
Timu iliyofunga mabao mengi
Real Madrid mabao 321
Barcelona 293
Timu iliyopita kwenye makundi mara nyingi
Real Madrid 22
Timu iliyofunga mabao mengi msimu mmoja
Paris Saint-Germain mabao 25, (2017/18).
0 COMMENTS:
Post a Comment