October 19, 2018

BAADA ya Taifa Stars kuikamata nafasi ya pili katika Kundi L la kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon), kocha mkuu wa kikosi hicho, Emmanuel Amunike anaamini ataipeleka timu hiyo kushiriki Afcon, mwakani. 

Afcon ya mwakani inafanyika Cameroon na kama Uganda itaichapa Cape Verde katika mchezo ujao, huku Taifa Stars ikiichapa Lesotho, basi moja kwa moja timu hizo zitakuwa zimefuzu bila ya kusubiri mechi ya mwisho. 


Baada ya mchezo uliopita Taifa Stars kuichapa Cape Verde mabao 2-0, Amunike alisema: “Kikosi changu kina wachezaji wenye viwango vya juu, nawaamini na naamini tunaweza kufi kia malengo yetu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic