December 14, 2018


Basi la timu ya Simba  lililokuwa limebeba mashabiki wa Simba na wadau wa michezo, limepata ajali mchana wa leo eneo la Masangano nchini Zambia kilomita chache kabla ya kuingia Kitwe inapochezwa mechi  ya Simba dhidi ya Nkana kesho Jumamosi. Hakuna aliyeumia.

Taarifa zinaeleza basi hilo lilivaa roli lililofunga breki ghafla baada ya uendeshaji mbaya wa dereva mwingine wa roli.

Kuna baadhi ya waliokuwa katika basi la Simba wamepata majeraha lakini imeelezwa si makubwa.

5 COMMENTS:

  1. Sio dalili nzuri kwa mchezo wa jumapili

    ReplyDelete
  2. Fikiria kama wachezaji wangekuwa ndio wanaolltumia hilo basi wakati linapata ajali? Uweledi unaotumika na viongozi wa Simba katika kuindaa timu inapokuwa ugenini hivi sasa ni wa kupongezwa kwani unaepusha usumbufu kwa wachezaji wao.

    ReplyDelete
  3. INA sikitisha sana ila tunashukuru no wazima

    ReplyDelete
  4. Hv mechi ya simba saa ngapi aisseeee

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic