VIDEO: TFF WATANGAZA VITA NA MUSIBA, WAMPA SIKU 7
Shirikisho la mpira wa miguu chini TFF limekanusha taarifa zilizochapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari kuwa limehusika na matumiza mabaya ya fedha kiasi cha shilingi million 300 kutoka katika vyanzo mbalimbali vya shirikisho hilo.
0 COMMENTS:
Post a Comment