January 20, 2019


KIKOSI cha Yanga Princess leo kimepoteza kwa kuchapwa mabao 8-1 dhidi ya JKT Queens kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Lite Women's Premier League.

JKT Queens wanafanikiwa kuwafunga watani wote wa jadi baada ya kuanza na Simba Uwanja wa Karume kwa kuifunga bao 1-0 na leo wameendeleza ubabe wao kwa Yanga Princess kwa ushindi wa mabao 8-1.

Yanga Princess wanafanikiwa kuifunga JKT Queens kwani mpaka sasa baada ya kucheza michezo sita walikuwa hawajafungwa bao hata moja.

Alliance Girl wameshinda bao 6-0 dhidi ya Evergreen Queens, Baobab Queens wameshinda mabao 3-1 dhidi ya Mapinduzi Queens. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic