January 20, 2019


Mabingwa wa­tetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, maarufu kama Serengeti Lite Wamen’s Premier League wamepania kuwanyoosha Yanga Princess katika mchezo wao wa leo Jumapili utakaochezwa Uwanja wa Mej.Gen.Isamuhyo.

JKT Queens ambao mpaka sasa hawajapoteza mchezo kati ya sita waliyo­cheza waliwanyoosha bao 1-0 wapinzani wao wakubwa Simba katika mchezo wao waliocheza Uwanja wa Karume.

Kocha wa JKT Queens, Ally Ally alisema; “Kila mchezo una mi­pango yake mimi nikiwa ni mwalimu mbinu nilizotumia kuwafunga Simba zitakuwa tofauti na nitakazotumia leo kupambana na Yanga tutakapokuwa tunacheza U\uwanjani.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic