January 20, 2019


LIGI ya Wanawake Tanzania 'Serengeti Lite Women's League' inaendelea leo kuchanja mbunga kwa timu sita kushuka Uwanjani kutafuta pointi tatu.

Marsh Queens itacheza dhidi ya Tanzanite SC Uwanja wa Nyamagana.

Evergreen Queens kibaruani leo dhidi ya Alliance Girls Uwanja wa Karume.

JKT Queens dhidi ya Yanga Princess Uwanja wa Maj.Gen.Isamuhyo. Mchezo huu umebadilishiwa ratiba hivyo utachezwa leo Uwanja wa Karume badala ya Uwanja wa Maj.Gen.Isamuhyo. Mechi zote zitachezwa saa 10:00 Jioni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic