May 5, 2019

7 COMMENTS:

  1. Haruna Niyonzima Amemaliza Adhabu Yake Ya Kadi Nyekundu ? Naomben Jibu Wadau Sikufuatilia Vizuri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kadi mbili za njano katika mechi moja husababisha nyekundu ambayo adhabu inaambatana na mchezaji kukosa mechi moja!..Kadi nyekundu ya moja kwa moja ndio mchezaji anatakiwa kukosa mechi mbili!

      Delete
  2. Itakua t asingepangwa sasa.....kikos kzr Sana Sana natumain game plan ime tofaut Leo sabab tushafaham hali halis ya uwanja

    ReplyDelete
  3. safi kabusa..ni vizuri kutumda kikosi chenye uwezo wa kufunga magoli mengi...maana kama umecheza mechi mbili unanyimwa penalt za wazi zaidi ya tatu..kuna njama za kuizuia SIMBA isipate ushindi..Bora kutumia kikosi cha maangamizi

    ReplyDelete
  4. Leo wajelajela watalia sana hakuna mchezo ni 3-0

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic