June 22, 2019


Baada ya kupata saini ya Mbrazil Wilker Henrique da Silva, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa wanazifikiria klabu kubwa kama Waydad Cassablanca, TP Mazembe na Esperance ambazo wanastahili kushindana nazo na si Yanga.

Hii ni kwa mujibu alichokiandika Manara kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.



7 COMMENTS:

  1. Haji Manara ni Bingwa tayari kesha wafunga watani.Haji oyeee

    ReplyDelete
  2. Haji usiwape faida hao.Naona sasa mbwembwe za usajili zimekwisha wamehamia vijembe vya uwanja...hahaaaaa.

    ReplyDelete
  3. Chura churani usajili wa mbwembwe umekwisha kelele zimekwisha kabla ya wakati maana walipoona simba ipo busy na ku renew mikataba kwa wachezaji wao.
    Wao wakajisahaulisha madeni ya malimbikizo ya madeni ya mishahara na madeni ya malipo ya usajili kwa wachezaji...

    ReplyDelete
  4. Kama sijakosea wadau wa soka la Tanzania yetu kuna miongozo iliyotolewa na TFF kuhusu wachezaji wa kigeni wanaosajiliwa kuchezea vilabu vyetu ktk ligi kuu ni kuwa kama ni mchezaji wa kigeni toka ktk bara la Africa basi vigezo ni kuwa awe anachezea/amecheza timu ya Taifa lake au anacheza ligi kuu ya nchi husika.
    Ikiwa mchezaji wa kigeni atatoka katika nchi za Europe or South America basi mchezaji huyo wa kigeni amecheza ktk ligi ya daraja la 2 au juu zaidi ya nchi yao husika.Hii imekaaje kwa mchezaji wa Simba anayesajiliwa toka Brazil akichezea ligi daraja la nne kama takwimu zake zinavyoonyesha?
    lkn pia turudi kwa wachezaji wetu wa kitanzania wanaocheza nje ya nchi ktk ligi za Ulaya anaecheza ligi ya daraja la 3 au chini ya hapo kama Adi Yusuf wanastahili kuchezea timu ya Taifa? Nawasilisha hoja kwa wadau wa soka ili tuwekane sawa ktk swala hili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaangalie vizuri. Wilker katoka daraja la pili (serie B) na timu aliyotoka mpaka May mwaka huu ilikuwa inaongoza Serie B. Kwa maelezo kuhusu ligi ya Brazil Serie B ni second division. So si kweli kuwa alitoka daraja la nne. Google utaona.

      Delete
  5. Kwani kuwa na wabrazili ni issue kubwa? Walikuwepo kina Jaja, Coutinho na dos Santos kwa hiyo hawa sio tungo mpya wala ugunduzi

    ReplyDelete
  6. Mwaka 2000 na 2019 ni tofauti,Simba ileee na hii tofauti hasa ktk malengo na utekelezaji wake.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic