July 14, 2019

RYAN Fraser winga wa Bournemouth huenda akatua ndani ya kikosi cha Arsenal kwa ajili ya matumizi ya msimu ujao.

Mkataba wa winga huyo mwenye umri wa miaka 25 unatarajiwa kuisha mwishoni mwa msimu ujao.

Bournemouth wamepiga hesabu na kuona bora wamuuze kwa sasa kuliko msimu ujao ambapo wanaweza wasiambulie kitu kwa kumuacha akiwa mchezaji huru mwakani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic