August 22, 2019



KOCHA Mkuu wa Biashara United, Amri Said amesema kuwa kikosi kipo tayari kawa ajili ya mchezo wa dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Agosti 24 uwanja wa Karume.

Akizungumza na Saleh Jembe, Said amesema wamejiandaa kutoa burudani kwa mashabiki na kuleta ushindani wa kweli.

“Tunatambua mchezo utakuwa mgumu ila lazima tupambane kupata matokeo, wachezaji wana morali na wanajua mchezo hautakuwa mwepesi,” amesema.

Msimu uliopita wa mwaka 2018/19 walipokutana uwanja wa Karume matokeo ilikuwa 0-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic